music, news

Birdman amemzawadia mpenzi !!

Mkurugenzi Mtendaji wa lebo ya ‘Cash Money” Bryan Williams maarufu kwa jina la ‘Birdman’ au ‘Baby” amemzawadia mpenzi ambae pia ni mwanamuziki maarufu nchini Marekani gari aina ya ‘2017 Bentley Bentyga’

Gari hilo la kifahari lililotengenezwa na kampuni ya utengenezaji wa magari kutoka Uingereza ya ‘British Automaker’ linatajwa kuwa na gharama ya dola $250,000 ambayo ni sawa na pesa ya madafu shilingi 545,700,000. Gari hilo limeitwa ‘Roque Bentyga’  sawa na moja ya jina ya kilele maarufu cha moja ya milima katika Visiwa vya Canary.

Taarifa kutoka kwa wadau wa muziki nchini Marekani wanasema gari hilo alilozawadiwa Toni Braxton hata halijaingia sokoni wala wauzaji wa magari hawanalo.

Birdman and tony braxton

Aidha Tamar Braxton mdogo wake Toni Braxton amepiga picha na dada yake wakiwa katika gari hilo na kuiweka katika mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram na Snapchat huku wakiandika maelezo mafupi ya kuonyesha furaha waliyonayo.

“Nimepata zawadi nzuri sana……….lakini kati ya zawadi ninazozipata huwa nyingi hazijaingia hata sokoni” aliandika Toni Braxton katika video yake moja kwenye Mtandao wa Snapchat

Birdman na Toni Braxton walianza urafiki miaka 14 iliyopita wakishirikiana katika kutengeneza wimbo maarufu ujulikanao kwa jina la “Baby u can do it” mnamo mwaka 1992.

Na Hashim Ibrahim (UDSM-SJMC)

2017-Bentleyn-01

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

LumberTribe

Devoted to Management Thinking and Business Topics for the Lumber and Building Supply Industry

Simon Hawketts' Photo Blog

Vintage camera reviews, repairs and photography blog

Chapeau Péruvien

Blog Le Havre - Maman blogueuse havraise

Dark Pines Photo

Photography Blog from ON.ca.

The Leftern Wall

Politics, Poetry, Prose, Prattle & Praxis

Life is Beautiful

Me, Myself and food

A Certain Slant of Light Photography

... the landscape listens, shadows hold their breath

Lynn Wiles

Photography

Partakers WOW Disciple...

helping to ignite your imagination, creativity and passion for following God…

Daily Encouragement

A daily message of hope and encouragement

Padepokan Budi Rahardjo

belajar untuk menjadi manusia ...

Toni.org

Eclipse or bust

Lens Cap

Casual glimpes into mundane suburbia

Lance on the Go

Photos and things from Lance Willett

Whatever

THIS MACHINE MOCKS FASCISTS

Natalie Breuer

Natalie. Writer. Photographer. Etc.

Matt Mullenweg

Unlucky in Cards

adoptingjames

Read our Mission. Find out how you can help us adopt James.

%d bloggers like this: