1.CASA BONITA

a

Casa bonita ni restaurant ambayo inapata kipato chake ikiwa na msitu ndani yake,Restaunt hii ina miaka 40 kwasasa,Ina ukubwa wa futi 52,000 za eneo la mraba ambazo hutosha kuweka meza na siti zinazotosha watu zaidi ya 1,000 kwa wakati.

Kwa ziada ina sehemu  ambayo hurusha maji kwenda juu kwa futi  30 pia ndani yake  zipo kumbi za maigizo pamoja na sinema.

Casa Bonita inapatikana marekani(oklahama city).Ni moja ya restaurant zinazo pendwa na wakazi wa colorado kwa vivutio hivyo vya ajabu.

2.Dinner in the Sky

b

Ingawa sio mgahawa ambao ni wa sehemu moja,mgahawa huu uhudumu katika anga takribani futi 180 ,hunyanyuliwa juu na crane maalum.

Mgahawa huu hubeba watu 22 na katika kila meza huwekwa chakula ambacho kila mteja hukipenda au atachagua atengenezewe.

Mgahawa huu ni maarufu sana katika miji ya  capetown,istanbul,monteal,las vegas na rio de janeiro.

3.Ithaa Undersea Restaurant, Maldives

c.jpg

Ni mgahawa wa kwanza duniani  ambao umejengwa chini ya maji,Ulifunguliwa rasmi mwaka 2005.

Chakula cha mchana kwa mtu mmoja ni dola 200$ na chakula cha jioni ni dola 300$ kwa mtu mmoja.

4.The Redwoods Treehouse, Auckland, New Zealand

e

Believe it or not, there’s an actual eatery that’s actually built into a tree. It might sound like an article from The Onion (both because it’s unbelievable and also because the restaurant looks like an onion bulb), but this uniqueyellow treehouse measures over 39 feet tall, sits over 10 feet off the ground, and was built from sustainably grown pine and poplar in 66 days. It was originally constructed as part of a marketing campaign, but is now available for private hire, with three catering options available. You can’t make regular restaurant reservations, but the venue is open for private dining, work parties, and other celebrations.