Msanii wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameeleza sababu za yeye kumblock Mpenzi wake Majjizo kwenye Instagram.Lulu amefunguka mara baada ya Mpenzi wake ‘Majjizo’ kulalamikia kitendo kilichofanywa na Lulu kumblock kwenye mtandao huo.

Hivi ndivyo alivyopost Lulu kwenye account yake ya Instagram: