click here

diam

Rais wa Wasafi,Diamond Platnumz ameweka wazi sababu ya kuchelewa kutoka kwa wimbo wake alioufanya dhidi ya kundi la wanii kutoka Nigeria P square  ,kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amefichua sababu hizo kuwa ni pamoja na kuangalia masuala ya kimaslahi .
Hata hivyo Staa huyo mwenye tuzo zaidi ya 40 za kimataifa amewataka mashabiki wake kukaa mkaoa wa kula kwani bado ataachia track hiyo hivi karibuni

https://www.instagram.com/p/BHcs9OAjnU5/embed/captioned/?v=7

Advertisements