Muigizaji wa kike kiwango nchini, Watara, inasemekana ana ujauzito wa aliyekuwa mumewe Mbunge wa Donge Mh Sadifa kupitia mitandao ya kijamii.

Kupitia kurasa maarufu Instagram, mashabiki wamekuwa wakizieneza Doko Doko hizo hali iliyomfanya wastara kulitolea ufafanuzi swala hilo.

Staa huyo amewataka mashabiki kuwa na subira kwani kama kweli ana ujauzito majibu yatakuja baada ya miezi 9.

Haya ni majibu wa Wastara kuhusiana na  mimba.
Aunt-na-

Advertisements