Weusi wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kushoot video za ngoma mpya.

13258940_617719245043779_2092866993_n
Weusi wakiwa na msanii wa Nigeria Chidinma na muongozaji wa video, Justin Campos

Haijajulikana kama wameenda kwaajili ya mradi wa kundi ama ni kazi binafsi za Joh Makini lakini awamu hii wameenda wote, G-Nako na Nick wa Pili.

13248723_280575235615697_1511826046_n
Weusi wakiwa na rapper wa Afrika Kusini, Khuli Chana

Joh alipost kwenye Instagram picha wakiwa na msanii wa Nigeria, Chidinma pamoja na muongozaji wa video, Justin Campos.

“Team work make the dream work @chidinmaekile @gorilla_films #justinecampos #Weusi #PerfectCombo #itsawrap #onTotheNextOne #MunguniMwema #GODENGINEERING,” aliandika Joh.

Pia alipost picha wakiwa na rapper nguli wa Afrika Kusini, Khulichana. “#WeusiMeetsKhuli @khulichana01 #YouKnowWhathappen..GET READY!!!!,” aliandika.

Kwenye picha nyingine akiwa na Khulichana, Joh aliandika, “#EastMeetsSouth JOHMAKINI X KHULI CHANA coming soon #2kings #wemakingmoves #GODENGINEERING.”

13267583_1788291978068397_1053754685_n

Hizo zitakuwa collabo zingine kuwa kwa Joh Makini baada ya Don’t Bother aliyomshirikisha AKA.

 

Advertisements