Katika couple hapa Bongo ambayo inaongelewa sana kwasasa ni couple ya Harmonize na Jacqueline Wolper, Lakini kwake Nay Wamitego ameibuka nakuamua kuwaponda baadhi ya mastaa wa Bongo nakusema kuwa niwakatili kwa  tabia yakuwa kwarua chipukizi nakumtaja Wolper, Nisha na Shilole akiwataja wanatabia hiyo.