Mabibi na mabwana Video/Audio ya wimbo mpya wa Alikiba inatarajiwa kutambulishwa ijumaa hii kwa mara ya kwanza 13.5.2016 katika kituo kikubwa cha televisheni barani Africa cha MTVBase chenye makao yake nchini nigeria na africa ya kusini.