2

Bondia kutoka Uingereza Amir Khan baada ya kutamba anataka kuzipeleka ngumi mbali, hiyo imeshindikana baada ya kukutana na kipigo kikali kutoka kwa bondia ‘Canelo’ Alvarez raia wa Mexico pambano hilo ambalo lilifanyika usiku wa May 7.

33F1AFA500000578-0-image-a-10_1462678410855

Khan alipigwa kwa KO katika raundi ya sita.

Canelo amepoteza pambano moja tu dhidi ya Floyd Mayweather ambaye hajawahi kupigwa.

Bondia Canelo alionekana amepania kushinda na mara nyingi ngumi zake ziliwaamsha mashabiki waliojitokeza jijini Las Vegas kushangilia kwa nguvu.

33F1BBEC00000578-3579180-image-a-22_1462679471891

33F1BD7300000578-3579180-image-a-31_1462679708766

33F1C2DF00000578-3579180-image-a-43_1462680911337

33F1C2F300000578-3579180-image-a-37_1462680372776

33F1E2D600000578-3579180-image-a-50_1462682694127

33F1EC7C00000578-3579180-image-a-46_1462681361586

33F1F6BB00000578-3579180-image-a-54_1462683317808

33F1FA8900000578-3579180-image-a-59_1462683516397

 

Advertisements