Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limewatia mbaroni wanajeshi 10 wa Marekani baada ya wanajeshi hao kuingia katika maji ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.

Serikali ya Marekani imeiomba radhi rasmi Iran. Hatimaye Iran imewaachilia huru wanajeshi hao baada ya kuthibiti kwamba waliingia kimakosa kwenye eneo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Ingia hapa chini kuangalia video kuhusu operesheni ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya kuwatia mbaroni wanajeshi hao wa Marekani…

 

Sauti na Video

via media.ws.irib.ir