Video mpya ya Ommy Dimpoz “Wanjera” imetayarishwa ni kuongozwa na Godfather Production.Video imefanyika Johannesburg, South Africa na video mpdel ni Tanzanian Superstar Wema Sepetu na mshindi wa Big Brother Hotshot Idris Sultan. Audio imetayarishwa na Manwater (Combination Sound).

Advertisements