Kupitia ukurasa wake wa instagram, msanii wa muziki wa kizazi kipya na mtangazaji wa kituo cha Choice Fm,Vanessa Mdee aka V-Money kaandika “To God be the glory, Thank you soo much for voting. I love you”#BestFemaleEastAfrica #Tanzania amewashukuru mashabiki wake kuashiria ushindi huo alioupata katika kipengele cha Best Female EastAfrica nchini Nigeria kupitia tuzo za AFRIMA

Advertisements