Ikiwa leo ni siku ya UKIMWI duniani, maalum kwaajili ya kujikumbusha juu ya gonjwa hili na kuendesha shughuli mbalimbali zinazoelekezwa katika kupambana nalo, wasanii wa muziki nchini wamefunguka juu ya hali ya gonjwa hili kwa sasa kwa mashabiki wao.

msanii wa bongofleva nchini Tanzania Stamina

eNewz imeweza kuongea na Roma pamoja na Stamina kuhusiana na siku hii na pia suala dhahiri la kupungua kwa kazi za muziki ambazo zinabeba ujumbe kuhusiana na gonjwa hili katika soko la muziki la sasa.

Advertisements